Luke 11:2-4

2 a bAkawaambia, “Mnapoomba, semeni: “ ‘Baba yetu (uliye mbinguni),
jina lako litukuzwe,
ufalme wako uje.
(Mapenzi yako yafanyike
hapa duniani kama huko mbinguni.)
3Utupatie kila siku riziki yetu.

4 cUtusamehe dhambi zetu,
kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea.
Wala usitutie majaribuni
(bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu).’ ”

Copyright information for SwhKC